Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ilikamilisha taratibu za kupokea maombi ya muda za makarani na wasimamizi wa sensa ya watu na makazi kupitia mfumo wa maombi wa kielectroniki tarehe 19 Mei 2022.
Mchakato huu uko katika hatua mbali mbali za utekelezaji ambapo utakapokamilika, Wakufunzi hawa wa sensa ya watu na makazi wa ngazi ya taifa yaani hawa wanaohitimu leo watakwenda kuwafundisha wale kwenye ngazi za mikoa na wale wa ngazi za mikoa na wenyewe wataenda kuwafundisha wa chini yao"
Hayo yamesemwa leo kwenye Hafla ya kufunga mafunzo ya wakufunzi wa Sensa Ngazi ya Taifa na Mh. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu

0 Comments
hellow from rojamilaonline.com